RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

21.01.2018: BAADHI YA WATU WALIOAMUA KUOKOKA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

21.01.2018: BAADHI YA WATU WALIOAMUA KUOKOKA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"Baadhi ya watu waliokoka katika ibada ya Jumapili 21.01.2018 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Mch. Elizabeth Lucas aliweza kuwaongoza sala ya toba na baadae waliweza kubatizwa kwa maji mengi. Siku ya Jumatatu na Jumanne walianza masomo yao ya kukulia wokovu katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

Tunakukaribisha wewe ambaye unatamani kuokoka na kumkabidhi maisha yako BWANA wetu Yesu kuwa BWANA na mwokozi wa wako.

Ibada yetu ya Jumapili itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana.

Kanisa limeandaa usafiri wa bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola jijini dar es Salaam.

Mch. Elizabeth Lucas

















Comments