RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAJI MAPYA 2018 YALIOOMBEWA (NEW ANOINTING WATER) SASA YANAPATIKANA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"


Yale mafuta yaliyoombewa na Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na jopo la wachungaji 12 wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" sasa yanapatika katika makao makuu ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" jijini Dar es Salaam.

Jinsi ya kufika: Panda magari yanayoelekea Tegeta, Shuka Mwenge kwenye mataa, utaona bodaboda katika barabara ya Coca Cola, panda hizo bodaboda hadi kanisani Mlima wa Moto Mikocheni "B". Ukifika uliza ofisi za utawala utakutana na watumishi wa Mungu watakusaidia

Pia siku ya Jumapili zinapatikana kanisani, utaonana na wahudumu nao watakusaidi. Ibada ya Jumapili inaaza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana

Kanisa limeandaa usafiri wa bure kwa siku za Jumapili kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola. Karibuni sana













Comments