RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

21.01.2018: MCHUNGAJI KUTOA AFRIKA KUSINI AWATOA SALAMU ZAKE KWA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI “B”

Mchungaji kutoka Afrika Kusini alivyoweza kulisamia kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" na kuwatamkia baraka za mafanikio ya kifedha kwa waumini siku ya Jumapili 21.01.2018. Pia aliwaomba waumini wajiunganishe na upako kutoka kwa Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare ambaye Mungu anamtumia kuwainua watu kiuchumi na kiiimani na kiroho. Waumini waliweza kufika katika madhabahu ya Mlima wa Moto Mikocheni "B" ili waweze kuwekewa mikono na Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare.

Mchungaji kutoka Afrika Kusini




















Comments