RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI RISPA MIGUMA | AFUNGUKA BAADA YA KULAZWA HOSPITALI NA MWANAE

Wapendwa,
imekuwa muda mrefu tangu post ya mwisho Nov mwaka jana.
Ilihusu afya ya mtoto lakin pia ilikuw tuwe na wimbo wiki iliyofuata.
Ijumaa ya wiki hiyo hiyo tulilazwa kwajili y matibabu ya mtoto na mpaka sasa anaendelea vizur. Tumeruhusiwa kurudi nyumbani.

Nashukuru kwa salam, maombi, meseji za kutia moyo kipindi chote nilichokuwa nikiuguza mpaka sasa!

Kuhusu wimbo,
Nitangulie kusema mniwie radhi kwa kuwa kimya kipindi chote, kutokana na kuhitajika kuwa karibu na mtoto pia kutokana na kukosa feedback toka kwa director wangu ambaye alitakiwa kuwa ameshanipa wimbo kama tulivyokuwa tumekubaliana. Mara nyingi amekuwa safarini.( kwa maelezo yake).

Mara y mwisho aliniambia amepata ajali, tunamuombea na tunaaamn atakaporecover atarudi na kuachia huo wimbo.

Beloveds,
it's been so long since the last post on Nov last year that was concerning my child's health but also the video we expected.
Friday of the same week we were admitted at Jakaya Kikwete and we are grateful that she is getting well day by day, and we are discharged!

Thanks again for a word of encouragement, sms, calls we felt strong and surrounded by supportive and loving people like you.

About the video;
First of all. I must apologize for being quite for such a long time. However, I had to support my baby during her illness time through. But again due to the fact that I had no feedback from my Video director whom we agreed to release the song! He had been traveling most times.....

Last time he told me that he had an accident!!!
We are praying for him, believing that once he recovers he'll come back and handle the song!

THANKS AGAIN!

ASANTE

Comments