Katika Tuzo Za Grammy 2018 Walikuwepo Waimbaji Wengi Wa Gospel Na Hizi Ni Baadhi Ya Picha Za Wasanii Hao Wakipita Kwenye Red Carpet.
Alikuwepo Mwanadada Tina Campbell Na Mumewake.




Pia Alikuwepo Mwanadada Anitha Wilson Pamoja Na Mume Wake.



Alikuwepo Jj Hairstone Na Mke Wake.


Alikuwepo pia Reba Mcentire






Wawakilishi Wa Kundi La Hillsong Worship Pamoja Na Brian Houston


Zach Williams Pia Alikuwepo.


Alikuwepo Pia Marvin Sapp Pamoja Na Mali Music

Mwanadada Le’andria Johnson Nae Alikuwepo

Kundi La The Walls Nao Walikuwepo

Casting Crowns Pia Walikuwepo.

Na Thomas RhettAkins Na Mkewe Walikuwepo.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.
Post Views: 41
Comments