RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

11.02.2018: MARTHA KOMANYA ALIVYOONGOZA IBADA YA SIFA JUMAPILI YA BIG SUNDAY TO REMEMBER

Katika ibada ya BIG SUNDAY TO REMEMBER iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 11.02.2018 watu walibarikiwa sana na ibada ya kusifu iliyoongozwa na Martha Komanya akishirikiana na Praise & Worship Team ya Mlima wa Moto Mikocheni "B". Ibada hii hufanyika mara moja tu kwa mwaka na hukusanya makanisa yote ya Mlima wa Moto Tanzania, na ibada huanza saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni.


Sasa nikukaribishe katika ibada ya Jumapili hii katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Kanisa limeandaa usafiri wa bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho jijini DSM na Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola.

Martha Komanya























Comments