RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

11.02.2018: MCH. NOAH LUKUMAY AGUSA MIOYO YA WATU KATIKA IBADA YA BIG SUNDAY TO REMEMBER SIKU YA JUMAPILI

Hakika tulibarikiwa sana na mahubiri ya Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", Noah Lukumay katika ibada ya BIG SUNDAY TO REMEMBER 2018 iliyofanyika siku ya Jumapili 11.02.2018 na kuhudhuriwa na makanisa yote ya Mlima wa Moto Tanzania na watu mbalimbali kutoka kila kona ya Afrika. Ibada ilianza saa 12 asubuhi na kuhitimishwa saa 12 jioni. Ibada hii ya BIG SUNDAY TO REMEMBER hufanyika mara moja tu kwa mwaka na watu hupata muda ya kufundishwa Neno la Mungu, kuombewa, Kuongozwa sala ya toba kwa wanaokoka na kubatizwa, burudani na kupata chakula cha pamoja.

Sasa naomba nikushirikishi link hii ambayo utapa kuona watu wakijazwa Roho Mtakatifu baada ya Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare, Mch. Noah Lukumay na jpo la wachungaji 12 kuwaongoza waumini na wageni katika kipindi cha maombi: Bonyeza hapa: http://rumaafrica.blogspot.com/2018/02/11-22018-watu-wajazwa-na-roho-mtakatifu.html


Mch. Noah Lukumay




























Comments