RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

18.02.2018: MATUKIO KATIKA PICHA YA WAUMINI WAKIPAKWA MAFUTA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI

Waumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" na wageni waliofika kusali katika ibada ya KUMILIKI iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 18.02.2018 wakipakwa mafuta yaliyoombewa na Mhe, Bishop Dr. Getrude Rwakatare. Baada ya kupakwa mafuta waliombewa na baadae kugawiwa mafuta yaliyoombewa kwaajili ya kwenda nayo nyumbani.

Endelea kufuatilia post zetu wakati tunakuandalia video ya tukio hili. Pia tunakualika katika ibada ya Jumapili hii ambayo itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Kanisa limekuandalia usafiri wa bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwenye mataa.














































































































































































































































































Comments