RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

18.02.2018: UGAWAJI WA KADI ZA MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

Siku ya Jumapili 18.02.2018 Kamati ya MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018 iligawa kadi za Usiku wa Wanandoa na Wanaotegemea kuwa wanandoa katika ibada ya KUMILIKI iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"


Ngoja nikupe ufupi wa hii PARTY.


- Itafanyika: Mlima wa Moto Mikocheni "B"
Siku ya Ijumaa 02.03.2018.

- Kuanzia saa 12 jioni hadi usiku

- Viingilio Single: Tshs. 10,000/= Double: Tshs. 20,000/=

- Watakaofundisha: Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare, Mch. Noah Lukumay, Mch. Paul Kuria kutoka Kenya na Mwalimu Joshua Mutashi kutoka Mwanza.

- Kitakachofanyika: Mafundisho ya Ndoa, Maombi, Neno la Mungu, Burudani mbalimbali, Chakula na vinywaji

- Kadi zinapatikana: Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", Kanisa la Mlima wa Moto Bunju, Kanisa la Mlima wa Moto Boko, kituo cha mafuta cha Victoria jijini dar es Salaam.

Jumapili hii kadi zitapatikana katika ibadani kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana.


Mwenyekiti wa kamati ya Marriage Revival Dinner Party 2018 Mch. Alex Mapanga



Mch. Noah Lukumay


Katibu wa Kamati ya Marriage Revival Dinner Party 2018 (kulia) Mr. Kasembe
















Comments