Mch. Noah Lukumay wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" anakualiaka katika Ibada Ya Jumatano Hii Ya UKOMBOZI WA MIKONO YAKO (Isaya 35:3)
Ibada itaanza saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B".
Usipange kukosa ibada ya kumombolewa mikono yako iliyofungwa usifanikiwe katika kazi ya mikono yako.

Mch. Noah Lukumay
Comments