MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

18.03.2018: JOYBRINGERS KWAYA NA HAPPY KWAYA WAKIMTUKUZA MUNGU SIKU YA JUMAPILI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

TAFAKARI
//MITHALI 9:10: Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Kwa maana kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaoongezwa.//
Siku ya Jumapili 18.03.2018 Joybringers Kwaya na Happy Kwaya za Mlima wa Moto Mikocheni "B" zilimtukuza Mungu na kumsifu kwa njia ya uimbaji. Nyimbo zao ziligusa mioyo ya watu na kubadilisha maisha ya watu. Wapo waliopata faraja kupitia nyimbo hizi na wapo walioinuliwa kiimani kutokana na ujumbe uliokuwa ukiimbwa na waimbaji hawa.
Bonyeza hapa kuona video: <iframe width="560" height="315" src="https://www.youtube.com/embed/kPxyvKCIA8o" frameborder="0" allow="autoplay; encrypted-media" allowfullscreen></iframe>

0