RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

23.03.2018: WATU WAGUSWA NA NYIMBO ZA KUABUDU KANISANI SKU YA JUMAPILI

//ZABURI: 82:1-2: Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu. hata lini mtahukumu kwa dhuluma, na kuzikubali nyuso za wabaya?//

Tuzidi kumuabudu Mungu wetu kwasababu Mungu wetu anasimama katika kusanyiko Lake. Ukihitaji baraka, muabudu Mungu kwa Roho wa Kweli. Ubarikiwe mwanangu.
........................................................
Picha hizi ni za ibada ya MAOMBI YA KUKOMESHA ROHO ZA MAPOOZA siku ya Jumapili 23.03.2018 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". watu walimuabudu Mungu wakiongozwa na Mzee wa Kanisa Martha Komanya.

Martha Komanya



Mhe. Bishop Dr. Getrude Rwakatare











Janeth Urasa





Comments