RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DR. SHOO: HATUTAKUBALI KUNYAMAZISHWA, JUKUMU LETU KUONYA

Siku moja baada ya Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kutoa waraka mzito wa ujumbe wa Sikukuu ya Pasaka, mkuu wa kanisa hilo, Dk Frederick Shoo amesema wasinyamazishwe kwa kuwa jukumu la viongozi wa dini ni kuonya na kusema ukweli.

Comments