RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MHE. BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE : KILIO CHANGU KIKUKARIBIE




ZABURI 119: 169: 
Ee BWANA, kilio changu na kikukaribie, unifahamishe sawasawa na neno lako. Dua yangu na ifike mbele zako............ 171. Midomo yangu na itoe sifa, kwa kuwa umenifundisha mausia yako, maana maagizo yako ni ya haki. Mkono wako na uwe tayari kunisaidia, maana umeyachagua mausio yako.

..........................................
Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare.
Mlima wa Moto Mikocheni "B"
Dar es Salaam, Tanzania.
Karibuni ibadani Jumapili hii saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana.
Usafiri ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwene mataa barabara ya Coca Cola-DSM Tanzania.

Comments