RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Miriam Jackson Aumizwa na Jambo Hili,Kabla Mwaka Haujaisha …

Miumbaji Wa Gospel Tanzania Miriam Jackson Ambaye Ameachia Wimbo Wake Mpya “nisaidie”Aliomshirikisha Joshua Mlelwa Ameelezea Mipango Yake Mikubwa Kihuduma Kwa Mwaka Huu Wa 2018 Na anatarajia Kuachia Video zake Mpya tatu.



Ikiwa Ni robo Ya Mwaka Miriam Jackson Amekutana Na Jambo Lililomuumiza sana Hebu Msikiliza hapa. BONYEZA

Comments