MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

EFATHA MWENGE: MUNGU UKINIBARIKI NITAFANYA HIVI NA VILE

Watu wengi wanamwahidi MUNGU UKINIBARIKI NITAFANYA HIVI NA VILE lakini ni waongo akisha wabariki wanasahau yale waliyoahidi. Jifunze kumtolea Mungu kwa hicho kidogo ulicho nacho, ndipo utaweza kuwa mwaminifu kwa hayo makubwa atakayokupa. Waambie watu waliokaribu yako kuwa, kitu ulichokitenga kwa ajili ya MUNGU wasikiguse, ni heri ulale njaa kuliko umkosee Mungu. Kumbuka chochote ambacho Mungu amesema ukifanye ukaacha kufanya ni dhambi au ulichosema utafanya na usipofanya ni dhambi pia. Omba Mwambie Bwana Yesu, nisamehe kwa kuwa mwongo mbele za Mungu na wanadamu pia. Sikutimiza yanipasayo katika kumheshimu Muumba wangu. Lakini sasa nimejua kweli nayo imeniweka huru. Nimeamua kuwa mkweli. Futa hatia zangu na hukumu juu yangu na adhabu pia inayonikalia na unitakase kwa Damu yako inenayo mema kwa ajili yangu.

...................................................................................................
So many people promise God that, "when you bless me, I will do this and that!" but they are liars, since once they are blessed they forget all that they had promised God. Learn to offer to God, the little that you have; that's when you will be able to have faithfulness for the plenty that HE will give you.
Also tell the people who are close to you not to touch what you have set aside for God. It's far better to sleep hungry than to annoy God. Remember that whatsoever that God has told you to do and you did not do it; it's a sin. Or whatever you said that you will do and you didn't do; it becomes a sin. Pray and tell God to forgive you for being a liar before HIM and to humanity. Tell HIM that you did not fulfill what was meant for you in honoring your creator. "But now I have recognized the truth and it has set me free. Erase my faults, judgment upon me, the punishment set for me and cleansen me by your blood which speaks good for me."

© MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – (EFATHA MINISTRY)
0