




Goodluck Gozbert Amefanya Vizuri Sana Baada Ya Kuimba Nyimbo Zake,Huku Akishangiliwa Na Maelfu Ya Watu,Waliohudhuria Tamasha Hilo,
Pia Leo Amekuja Kivingine Wakati Akiingia Stejini,Nijambo Ambalo Limekuwa Surprise Kwa Watu Wengi,Huku Akishangiliwa Na Maelfu Ya Watu,Kwasasa Goodluck Gozbert,Ndiye Mwimbaji Bora Zaidi,Wa Nyimbo Za Injili Kutokana Na Ubunifu Wake Mkubwa Wa Uandaaji Wa Nyimbo Zake,Ambazo Zimebeba Jumbe Za Kufundisha,Huku Zikiwa Hazifungamani Na Dini Yeyote Ile.
Comments