RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Kafunguka Mchungaji aliyesema ‘kitu cha Arusha huliwa na wenye hela’



Kama unakumbuka video clip iliyosambaa ikimuonyesha Mchungaji ambaye alikuwa anazungumza katika msiba nakusema “kitu cha Arusha kinaliwa na watu wenye hela”kitu kilichosababisha watu wengi kujadili maneno na kukiki mitandaoni.

Leo June 18, 2018 Mchungaji huyo anayejukikana kwa jina la Tumsifu Kweka kutoka Machame kakubali kuzungumza nakusema vijana wengi wamekuwa hawataki kufanya kazi nakujihusisha na madawa yakulevya ile hali hawana fedha.

Comments