Mke Wa Mchungaji Wa Kanisa La Deeper Church Marekani Na Mwimbaji Wa Injili Kutoka Marekani William Mcdowell LaTae McDowell Amejifungua Mtoto Wa Kiume.

Kwa Furaha Mchungaji Huyo Ameandika;
A post shared by Pastor William Mcdowell (@pastorwilliammcdowell) on Jun 20, 2018 at 2:15pm PDT
Mtoto Huyo Anafikisha Idadi Ya Watoto Watano Wa Mchungaji Huyo Huku Mchungaji Huyo Akisema Kuwa Mtoto Huyo Ni Wa Mwisho Kwake.
A post shared by Pastor William Mcdowell (@pastorwilliammcdowell) on Mar 3, 2018 at 5:14pm PST
LaTae Amejifungua Ikiwa Ni Siku Chache Tu Baada Ya Mchungaji Huyo Kutoka Kwenye Upasuaji Baada Ya Kuumia Mkono.
Comments