MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

Mtanzania aliyetokelezea kwenye Jarida moja na Michelle Obama, Oprah


Leo June 21,2018 tunayo Exclusive Story kutoka kwa Mwanamke wa Kitanzania, ambaye amepata fursa ya kuwekwa kwenye Magazine moja na mke wa Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama (Michelle Obama) pamoja Oprah Winfrey.

Mtanzania huyo ni Rose Mbaga ambaye anasema yeye ni miongoni mwa wanawake 100 wanaotambulika katika Maendeleo Endelevu ambapo Magazine hiyo ya NANKE ipo chini ya Mwanaharkati wa Umoja wa Mataifa.

0