MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA.


Namshukuru Mungu kwa Matendo Makuu na ya Ajabu Aliyotenda katika Maisha yangu. Namshukuru kwa ajili ya Mke mzuri aliyenipatia, Watoto wazuri, Wajukuu na Vitukuu, haya yote kwangu ni Miujiza. Kwa umri nilionao leo kuwa na Vitukuu ni Muujiza mkubwa. 

Namshukuru Mungu kwa ajili ya Wazazi wangu Baba, Mama na Mama mkwe wangu ambao amewapa kuwa hai mpaka leo hii. Mwaka huu Mungu amenitendea MAAJABU, amenipa Ndege nzuri ya Kisasa na muda si mrefu itawasili Tanzania. Mungu amenitendea mengi katika UTUMISHI wangu, mambo Makubwa na Yakushangaza. Yale ambayo Mungu amefanya kwetu ndivyo atakavyofanya na kwako.


0