RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Hivi Ndivyo Nabii Shepherd Bushiri Alivyoadhimisha Siku Ya Mandela, Apiga Rangi Madarasa.



Nabii Shepherd Bushiri Ambae Ameingia Kwenye Orodha Ya Wahubiri Wenye Ushawishi Mkubwa Na Matajiri Duniani Jana Aliadhimisha Siku Ya Mandela Kwa Kutembelea Katika Shule Ya Msingi Ya Kloofwaters, Rusternburg Huko Afrika Kusini.



Nabii Huyo Alitembelea Shule Hiyo Akiwa Na Kundi Lake Na Kufanya Mambo Mbalimbali Ikiwa Ni Pamoja Na Kupiga Rangi Ukuta Wa Madarasa Hayo Kwa Dakika 67 Akiadhimisha Miaka 67 Aliyotumia Mandela Kupigania Haki Kwa Jamii.


Katika Mitandao Ya Kijamii Nabii Bushiri Aliandika;


Comments