Mchungaji Zakayo Nzogere Wa Kanisa La MICC Mwanza Leo Ameandika Ushauri Wake Alionao Kwa Vijana Ambao Bado Hawajaoa.

Katika Mitandao Ya Kijamii Mchungaji Huyo Amewashauri Vijana Kutokuoa Au Kuolewa Kwa Kuangalia Vitu Kama Biashara, Kazi, Elimu Au Hata Huduma.
Comments