RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Michelle Williams Aelezea Tatizo Alilokuwa Nalo Hadi Kutaka Kujiua.


Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Michelle Williams Ambae Anafahamika Zaidi Kama Destiny’s Child Ameweka Wazi Kutafuta Msaada Wa Afya Ya Akili.



Michelle Alikuwa Na Tatizo La Msongo Wa Mawazo Lililompelekea Kutaka Kujiua.

Katika Instagram Yake Michelle Aliandika;



“Kwa miaka mingi, mimi ni mmoja kati ya vikundi vya wanawake vilivyotunzwa zaidi wakati wote wanaosumbuliwa na msongo wa mawazo”. Michelle Williams alisema katika mahojiano katika kipindi cha Televisheni ya Marekani mnamo Oktoba 2017.


“Imekuwa mbaya sana, hadi kufikia hatua ya kutaka kujiua.”

Aliongeza: “Nilikuwa mahali hapo ambapo ni giza zito sana kwa sababu wakati mwingine unahisi kama ‘Mimi ni mtoa huduma, ninawajali watu, sijafikiria kuwa na hisia hii – nifanye nini? ‘

“Nilitaka kuondoka.”

Mwezi April Mwaka Huu Mwimbaji Huyo Alivishwa Pete Ya Uchumba Na Mchungaji Chad Johnson!


Michelle Williams Alivuma Zaidi Kwa Wimbo Wa ‘Say Yes’ Aliomshirikisha Beyonce Na Kelly Rowland.

Comments