RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Nabii Uebert Angel Atoa Zawadi Ya Gari Kanisani.

Nabii, Mchungaji Na Kiongozi Wa Kanisa La Good News Church Uebert Angel Ametoa Zawadi Ya Gari Aina Ya MERCEDES R Class Leo Katika Ibada Kwa Mshirika Wake.


Mshirika Huyo Aliyejulikana Kwa Jina La Washington Amekabidhiwa Funguo Ya Gari Hilo Zikiwa Katika Bahasha.

Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Alipoweka Picha Akitoa Funguo Hizo Nabii Aliambatanisha Na Neno ‘Tumepewa Bure, Tutoe Bure’.

Comments