RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Size8 Aja Kivingine Tofauti Na Watu Walivyomzoea.

Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Na Mtangazaji Wa Kipindi Cha Televisheni (Pambio Live) Size8 Ameachia Wimbo Wake Mpya Na Amekuja Kivingine Tofauti Na Watu Walivyomzoea.





Mwimbaji Huyo Amezoeleka Kwa Nyimbo Za Kusifu Ambazo Ni Za Kusifu Na Kuchangamka Kama Vile Mapochopocho, Palepale, Mateke Na Halelujah. Lakini Kwa Sasa Ameakuja Na Wimbo Huu Wa Kuabudu Uitwao Arise.

Akiachia Wimbo Wake Huo Size8 Ameandika;

I decree and declare in the name of Jesus Christ that no matter your situation you shall ARISE and bless the name of God. He is Emmanuel. May the Holy Spirit minister to your heart through this song. New song ARISE video link on my bio.

Comments