RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Video; Bishop T.D.Jakes Aeleza Tofauti Ya Kusifu Na Kuabudu.


Bishop Wa Kanisa Kubwa Marekani Linalojulikana Kwa Jina La Potter’s House Na Ambaye Amekuwa Akishauri Kuhusu Ndoa Na Anasemekana Kuwa Moja Ya Wahubiri Wenye Ushawishi Zaidi Duniani T.D.Jakes Aeleza Tofauti Ya Kusifu Na Kuabudu.





Katika Video Hiyo Bishop Jakes Alielezea Kusifu Kama Namna Au Njia Ya Kuingia Katika Uwepo Wa Mungu Na Akielezea Kusifu Kama Jambo Ambalo Kila Mtu Anaweza Kufanya, Huku Akielezea Kuabudu Ameelezea Kama Jambo Ambalo Mungu Anatafuta Mtu Mmoja Tu Alifanye.


Comments