Jana Ni Moja Ya Siku Ambayo Historia Ya Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Debora Lukalu Ilibadilika Na Kufunga Pingu Za Maisha Na Mume Wake Mr. Kaseba.

Video Mbalimbali Zimesambaa Na Kumuonyesha Mwimbaji Hyuo Akiwa Anacheza Mziki Katika Harusi Yake Hiyo Lakini Pia Akiimba.
Comments