RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Video; Mapokezi Ya Travis Greene Alipotua Nigeria.

Mshindi Wa Tuzo Saba Za Stella Awards Mwaka 2017 Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Travis Greene Tayari Ametua Nigeria.


Mwimbaji Huyo Amealikwa Katika Event Kubwa Inayofanyika Kila Mwaka Iitwayo Fearless Ambayo Huandaliwa Na Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nigeria Timothy Godfrey Maarufu Kama Tim Godfrey.

Event Hiyo Itafanyika Tarehe 25 July Had 27 July Katika Maeneo Tofauti Ikiwemo Lagos, Portharcourt, Uyo, Abuja, Umuahia.

Comments