RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Lugola kaunguruma Arusha, atangaza kufuta Makanisa, Misikiti




Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola akiwa katika Kanisa la Pentekoste la Leganga amesema hatasita kuyafutia usajili Makanisa na Misikiti yenye migogoro katika sadaka na Uongozi.

Asema kuna Makanisa na Misikiti yenye migogoro isiyoisha na mengine hayafuati sheria za nchi. “Kuanzia sasa, Misikiti au Makanisa yatayoshindwa kutatua migogoro yao wenyewe, Makanisa hayo/Misikiti hiyo nitaifuta mara moja” – Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani.

Comments