RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Picha; Kanisa La TAG Lajenga Ukumbi Mkubwa Dodoma.

Kanisa La Tanzania Assemblies Of God Limejenga Ukumbi Mkubwa Wa Kanisa Kwa Ajili Ya Mikutano Kule Jijini Dodoma.



Askofu Mkuu Wa Kanisa Hilo Barnabas Mtokambali Alikuwepo Na Kuongoza Ibada Hiyo Ya Ufunguzi Wa Ukumbi Huo.

Ukumbi Huo Unabeba Zaidi Ya Watu Elfu Sita. Tazama Picha;

Comments