RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Ujumbe Wa Mtoto Wa Billy Graham Katika Kumbukumbu Ya Miaka 75 Ya Ndoa Ya Wazazi Wake.


Mhubiri Mkubwa Na Msimamizi Wa Billy Graham Evangelist Pamoja Na Samaritan’s Purse International Relief Ambae Ni Mtoto Wa Nne Wa Billy Graham Pamoja Na Mke Wake Kati Ya Watoto Wao Watano, Ameandika Ujumbe Akisherehekea Miaka 75 Ya Ndoa Ya Wazazi Wake Ambao Kwa Sasa Wote Hawapo Tena Duniani.


Katika Ujumbe Huo Franklin Graham Amemshukuru Mungu Kwa Wazazi Wake Ambao Waliliishi Kusudi Mpaka Umauti Wao.

Ameandika;

Today would have been my parents @BillyGraham and Ruth Bell Graham’s 75th wedding anniversary—but this year they’re both in Heaven! I’m so thankful to have had a mother and father who lived out their commitment to God and to each other throughout the years.

Comments