RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ALICHOKIANDIKA MUIMBAJI WA GOSPEL DADA EDDAH MWAHAGAMA BAADA YA KUTOA ZAWADI KWA WATOTO YATIMA

Kuwajali yatima,kuwathamini ,kuwatembelea ni ibada kubwa kwa Mungu wetu.asante rafiki zangu Ikupa Mwambenja,Monica mwandwanga, Afande Bright Mbwilo,Kingston producer,kwa kuungana nami katika sadaka ya shukurani kwa vituo kadha mkoani mbeya. Tafadhali watu wa Mungu usitupe nguo,usitupe chakula tafuta watu na Mungu atakuongoza ukalishe na kuwavisha.kwenye picha hapo NI watoto yatima wenye umri mdogo saana wengine wameachwa na wazazi wao wakiwa na day 1,wanahitaji maziwa,mtoto mwingine alifariki kwasababu ya kukosa matunzo mazuri.haya Sasa changamka ungana na eddah mwampagama kuwasupport wenye shida mbalimbali. Mwezi ujao tutaanza kuwafundisha wakubwa cherehani na mwalimu amepatikana.kama utahitaji kusuport tuwasiliane.Mungu awabariki saana










Comments