RULEA SANGA: LIFANYIE KAZI WAZO LAKO MAPEMA on December 18, 2018 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Wazo lako lifanyike kazi mapema kabla halijapotea kwa kumshirikisha Mungu kwanza. Wazo likizoeleka mara nyingi huwa la kawaida. Unapopata wazo chukua maamuzi mapema bila ya kuwa na woga. #MpigaPichaJanethBurtonSanga# Comments
Comments