RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Tori ashinda tuzo za Grammy Awards



Muimbaji wa nyimbo za injili anayefahamika kwa jina la Tori ameonyesha furaha yake baada ya kushinda tuzo mbili za Grammy Awards kwa usiku mmoja, ambapo ilikuwa ni ndoto yake tangu utoto wake na hatimaye ndoto hiyo imetimia.

Kutokana na ushindi huo Tori alionyesha hisia zake kupitia mtandao wake wa instagram akieleza jinsi alivyofurahishwa na ushindi huo ambao alikuwa akiusubiri kwa muda mrefu

"Ni Siku ya mshangao sana kwangu, Bado sijui jinsi nilikuwa na uwezo wa kuyazuia machozi tena machoni pangu kama nilikuwa nikitembea ili kukubali kila moja ya haya, japo nilikiwa na ndoto kuhusu hili tangu nilipokuwa mtoto hata ingawa sikudhani kama ningepata tuzo mbili kwa usiku mmoja, Siamini juu ya kilichotokea ninajua tu kwamba nina shukrani sana kwa Mungu na kamwe siwezi kusahau hili. Utukufu wote kwa Mungu"


Ni Muimbaji Gani Wakike Tanzania Anastahili Kupewa Tuzo Kutokana na Huduma Yake Ya Uimbaji anayoifanya?

Comments