RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA Project: Rumafrica Yaanza Kupalilia Shamba la Mpunga na kupanda miti Kisarawe mkoa wa Pwani Kijiji cha Mwanzomgumu (CHANIKA)

Rumafrica siku ya Jumatatu ilibahatika kufika katika shamba lake Kisarawe Pwani eneo la Mwanzomgumu kwaajili ya kupalilia mpunga na kupanda miembe. Mungu ibariki kazi ya mikono ya Rumafrica

Rulea Sanga akielekea katika shamba la Rumafrica Kisarawe Mkoa wa Pwani kijiji cha Mwanzomgumu



























Comments