RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KADI ZILIZOTUMIKA KUWAALIKA WAGENI KATIKA HARUSI YA DANIEL AMIR SANGA NA VERONICA ILIYOFANYIKA JUMAMOSI 19.11.2016 MAFINGA

Kadi zilizotumika kuwaalika wageni katika harusi ya Daniel Sanga (mtoto wa kwanza wa marehemu SHOTI-Amir Sanga) na Veronica siku ya Jumamosi 19.11.2016.Ndoa ilifungwa katika Kanisa la Lutherani Mafinga na sherehe ilifanyika katika ukumbi wa CF Mafinga-Iringa. Ilihudhuriwa na watu zaidi ya 600. Bango limetengezwa na Rumafrica +255 625 520 275