NDUGU NA JAMAA WAKIANDAA VYAKULA KWAAJILI YA WAGENI WATAKAOHUDHURIA KATIKA HARUSI YA DANIEL AMIR SANGA NA VERONICA ILIYOFANYIKA JUMAMOSI 19.11.2016 MAFINGA
Ndugu na jamaa wakiandaa vyakula kwaajili ya wageni watakaohudhuria katika harusi ya mtoto wa marehemu SHOTI-Amir Lanzon Sanga na Veronica siku ya Jumamosi 19.11.2016. Maandalizi haya yalikuwa yakifanyika nyumbani kwa baba yake na Daniel Sanga. Ndoa ilifanyika katika kanisa la Lutherai Mafinga na sherehe kufanyika katika ukumbi wa CF Mafinga. Ilihudhuriwa na watu zaidi ya 600